KIVU KUSINI: Wanafunzi zaidi ya 88,026 wa shule ya msingi Wanatarajiwa keundesha mitihani ya mwisho ya shule TENAFEP.

L’élèves dans leur classe avec IPP à bukavu

Wagombea karibu wa shule za msingi 88,026 wanatarajia Jumatano tarehe Agosti 26, 2020 kuhendesha mitihani ya kitaifa yakumaliza masomo ya msingi (TENAFEP) katika jimbo la elimu la Kivu ya Kusini 1.

Maelezo haya ni yake ukaguzi jimboni  Kivu Kusini wa shule za msingi wakati wa mahojiano na ntandao bkinfos tariki 25 Agosti, 2020.

Kwa masemi yake TEMBO KEVANDI Bernard, sanduku za mtihani  tayari vimepelekwa katika mikoa saba za jimboni.

wagombea wataendesha  mashindano ya  utamaduni,  Ufaransa , hesabu na sayansi.

Amehakikisha kuwa timu za ufundi zinafanya kazi yakuhakikisha kuwa mitihani yata fanyikapopote kwa usalama.

 » tumeandaa vituo 301 kwa wagombea 88,026, pamoja na wavulana 44,055, Jimboni Kivu ya Kusini, « ilisema IPI ya mkoa ya Kivu Kusini.

Anaongeza kuwa kila kitu kinafanyika kwa namna ya heshima za ukingo ya magonjwa ya corona

« Kwa kifupi, tunayo timu inayohusika na utekelezaji wa vizuizi ya mgonja ya corona » alisema Tembo Kevandi Bernard.

Mtihani hiyo itafanyika kutoka Jumatano 26 Agosti  hadi Alhamisi Agosti 27, 2020.

Janvier BARHAHIGA.

Commentez cette publication (Compte Facebook requis)

Janvier Barhahiga

Fondateur de BKINFOS.NET, Janvier est journaliste depuis plusieurs années. Informer est pour lui un moyen de participer au développement de son pays.