UVIRA : Askari jeshi na police 22 wakongomani wa shutumiwa ubakaji na ukeukaji wa haki za binadamu wa samba huko Luvungi.

Picture ya laprunellerdc

Korti ya Jeshi ya  Uvira yachunguza kesi 20 za ubakaji, ukeukaji wa kijinsia, katika uwanja wa mpira huko Luvungi tangu Jumatatu24, Agosti, 2020.

Katika masambo hiyo ambamo washetwa vidole  askari pamoja na polisi 22 wakongomani wanao endesha doriya huko bondeni ruzizi.

« Wanao samba ni wanajeshi  pamoja na askari polisi wanao tumika bondeni ruzizi na kati yao panaonekana wajeuri walio endesha ubakaji ya mtoot wa myaka kenda » ame kanusha kiongozi wa masambo  NGANAMA Joseph mbele wapasha habari

hukumu zitatolewa 2 Septemba ijayo. Ni kwa msaada wa panzi foudation ndiyo massambo hiyo yaendeshwa ya Dokta Denis Mukwege.

Janvier BARHAHIGA

Commentez cette publication (Compte Facebook requis)

Janvier Barhahiga

Fondateur de BKINFOS.NET, Janvier est journaliste depuis plusieurs années. Informer est pour lui un moyen de participer au développement de son pays.