KIVU KUSINI: Askari wa Fardc auwa kijana kwa risasi kabla aji maliziye maisha huko kalehe.

kalehe photo de delphin mbiribindi

Askari wa kikosi cha majini wa FARDC ame mu uwa kijana wa myaka angalao myaka 30 huko tarafani kalehe siku ya sita tariki 29 agosti 2020 mchana kati kwaku mupiga risasi.

Mauwaji hiyo ime tokeya wakati wa mabishano kwa ajili ya kitambaa kilicho pelekwa na mutu asiye fahamika

Kijijini mukwija huko Mbinga-Nord  tarafani kalehe 1,Kwa mujibu ya shirika la raia ya maeneo hiyo

« Kijana marehemu wa myaka ngapi makumi 30 Bahati Chingirwa alipigwa risasi katikati ya umati wa watu askari husika aki eleza ya kuwa amezaraulika.«  delphin Mbiribindi

Kisha kuuwa kijana huyo Bahati, askari huyo wa majini inchini congo yaki demokrasia ame amua kuji maliziya maisha kwa ajili yaku epuka ahakama.

Mwana bunge jimboni kutoka kule kalehe koko chirirmwami akim ama eleza huzuni yaye kulingana na mauaji hiyo inayo tokana mara ingine na wanao kinga usalama wa inchi na raia yake kabla atowe pole kwa jamaa ya kijana marehemu vile vile askari husika.

Redaction

Janvier Barhahiga

BKINFOS.NET est un média en ligne indépendant qui prônet la bonne gouvernance, la promotion socioculturelle et sportive de la jeunesse ainsi que la protection des ressources naturelles. BKINFOS.NET qui est un média en ligne reconnu officiellement sous RCCM CD/BKV/RCCM/22-B-00138 Id.nat : 22-J5801-N18907L numéro de d'impôt : A2217401P BKINFOS a ses adresses sur avenue P.E LUMUMBA /Maison des jeunes/Ville de Bukavu Est de la RDC. Contacts : zukamedia2022@gmail.com barhahiga2017@gmail.com +234 990885077